Jeremiah 38:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Shefatia mwana wa Matani, Gedalia mwana wa Pashuri, mwana wa Malkia, walisikia maneno ambayo Yeremia aliwatangazia watu wote akisema,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Shefatia mwana wa Matani, na Gedalia mwana wa Pashuri, na Yehukali mwana wa Shelemia, na Pashuri mwana wa Malkiya wakasikia kile Yeremia alichokuwa akiwaambia watu wote aliposema,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Shefatia, mwana wa Matani, na Gedalia, mwana wa Pashuri, na Yukali, mwana wa Shelemia, na Pashuri, mwana wa Malkiya, wakayasikia maneno ambayo Yeremia aliwaambia watu wote, kusema,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Shefatia mwana wa Matani, Gedalia mwana wa Pashuri, mwana wa Malkia, walisikia maneno ambayo Yeremia aliwatangazia watu wote akisema,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Shefatia mwana wa Matani, Gedalia mwana wa Pashuri, Yehukali mwana wa Shelemia na Pashuri mwana wa Malkiya wakasikia kile Yeremia alichokuwa akiwaambia watu wote wakati aliposema,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Shefatia mwana wa Matani, na Gedalia mwana wa Pashuri, na Yehukali mwana wa Shelemia, na Pashuri mwana wa Malkiya wakasikia kile Yeremia alichokuwa akiwaambia watu wote wakati aliposema,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Shefatia, mwana wa Matani, na Gedalia, mwana wa Pashuri, na Yukali, mwana wa Shelemia, na Pashuri, mwana wa Malkiya, wakayasikia maneno ambayo Yeremia aliwaambia watu wote, akisema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Shefatia mwana wa Matani, Gedalia mwana wa Pashuri, mwana wa Malkia, walisikia maneno ambayo Yeremia aliwatangazia watu wote akisema,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sefatia, mwana wa Matani, na Gedalia, mwana wa Pashuri, na Yukali, mwana wa Selemia, na Pashuri, mwana wa Malkia, wakayasikia yale maneno, Yeremia aliyowaambia watu wote wa ukoo huu kwamba:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Shefatia, mwana wa Matani, na Gedalia, mwana wa Pashuri, na Yukali, mwana wa Shelemia, na Pashuri, mwana wa Malkiya, wakayasikia maneno ambayo Yeremia aliwaambia watu wote, kusema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sefatia mwana wa Matani, Gedalia mwana wa Pashuri, na Yukali mwana wa Selemia, pamoja na Pushuri mwana wa Malkia walisikia maneno ambayo Yeremia aliwatangazia watu wote akisema: