Jeremiah 38:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Ebedmeleki akawachukua watu hao na kwenda pamoja nao ikulu kwa mfalme, wakaingia katika ghala ya ikulu; Ebedmeleki akatwaa nguo zilizotumika na matambara makuukuu, akamteremshia Yeremia kisimani kwa kamba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi Ebed-Meleki akawachukua watu pamoja naye, wakaenda kwenye chumba kilicho chini ya hazina, ndani ya jumba la kifalme. Akachukua matambaa makuukuu pamoja na nguo zilizochakaa kutoka huko, na kumshushia Yeremia kwa kamba ndani ya kisima.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Ebedmeleki akawachukua watu hao pamoja naye, akaingia ndani ya nyumba ya mfalme chini ya ghala, akatoa mle nguo zilizotupwa, na vitambaa vikuukuu, akamtelemshia Yeremia shimoni kwa kamba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Ebedmeleki akawachukua watu hao na kwenda pamoja nao ikulu kwa mfalme, wakaingia katika ghala ya ikulu; Ebedmeleki akatwaa nguo zilizotumika na matambara makuukuu, akamteremshia Yeremia kisimani kwa kamba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi Ebed-Meleki akawachukua watu pamoja naye wakaenda mpaka kwenye chumba kilichoko chini ya hazina ndani ya jumba la kifalme. Akachukua matambaa makukuu pamoja na nguo zilizochakaa kutoka huko na kumshushia Yeremia kwa kamba ndani ya kisima.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi Ebed-Meleki akawachukua watu pamoja naye, wakaenda mpaka kwenye chumba kilichoko chini ya hazina ndani ya jumba la kifalme. Akachukua matambaa makuukuu pamoja na nguo zilizochakaa kutoka huko, na kumshushia Yeremia kwa kamba ndani ya kisima.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Ebedmeleki akawachukua watu hao pamoja naye, akaingia ndani ya nyumba ya mfalme chini ya ghala, akatoa mle nguo zilizotupwa, na vitambaa vikuukuu, akamteremshia Yeremia shimoni kwa kamba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Ebedmeleki akawachukua watu hao na kwenda pamoja nao ikulu kwa mfalme, wakaingia katika ghala ya ikulu; Ebedmeleki akatwaa nguo zilizotumika na matambara makuukuu, akamteremshia Yeremia kisimani kwa kamba.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ebedimeleki akawachukua wale watu kwa mkono wake, akaingia nyumbani mwa mfalme chumba cha chini cha kuwekea malimbiko, akachukua mle vitambaa vya nguo zilizopasuka na vitambaa vya nguo chakavu, akavishusha kwa kamba kisimani kwake Yeremia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Ebedmeleki akawachukua watu hao pamoja naye, akaingia ndani ya nyumba ya mfalme chini ya ghala, akatoa mle nguo zilizotupwa, na vitambaa vikuukuu, akamtelemshia Yeremia shimoni kwa kamba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Ebedimeleki akatwaa watu hao na kwenda pamoja nao katika nyumba ya kifalme, wakaingia katika gala ya nyumba ya kifalme; Ebedimeleki akatwaa nguo zilizopasukapasuka na kuchakaa, akaziteremushia Yeremia ndani ya kisima kwa kamba.