Jeremiah 38:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yeremia akamjibu Sedekia, “Je, nikikuambia ukweli hutaniua? Na kama nikikushauri, hutanisikiliza.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeremia akamwambia Sedekia, “Nikikupa jibu, je, hutaniua? Hata nikikupa ushauri, wewe hutanisikiliza.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Yeremia akamwambia Sedekia, Kama nikikufunulia neno hilo, je! Hutaniua wewe? Tena, mimi nikikupa shauri wewe hutanisikiliza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yeremia akamjibu Sedekia, “Je, nikikuambia ukweli hutaniua? Na kama nikikushauri, hutanisikiliza.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yeremia akamwambia Sedekia, “Nikikupa jibu, je, hutaniua? Hata kama nikikupa shauri wewe hutanisikiliza.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeremia akamwambia Sedekia, “Nikikupa jibu, je, hutaniua? Hata kama nikikupa shauri, wewe hutanisikiliza.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Yeremia akamwambia Sedekia, Kama nikikufunulia neno hilo, je! Hutaniua wewe? Tena, mimi nikikupa ushauri wewe hutanisikiliza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yeremia akamjibu Sedekia, “Je, nikikuambia ukweli hutaniua? Na kama nikikushauri, hutanisikiliza.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yeremia akamwambia Sedekia: Je? Nikikujulisha yote, hutaniua? Tena nikikupa shauri, hutanisikia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Yeremia akamwambia Sedekia, Kama nikikufunulia neno hilo, je! Hutaniua wewe? Tena, mimi nikikupa shauri wewe hutanisikiliza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yeremia akamujibu Zedekia: Nikikuambia ukweli hautaniua? Na kama nikikushauria, hautanisikiliza.