Jeremiah 38:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini kama ukikataa kujitoa mwenyewe na kujitia mikononi mwao, haya ndiyo maono ambayo Mwenyezi-Mungu amenionesha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini ukikataa kujisalimisha, hili ndilo Mwenyezi Mungu alilonifunulia:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini kama ukikataa kutoka, hili ndilo neno ambalo Bwana amenionyesha;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini kama ukikataa kujitoa mwenyewe na kujitia mikononi mwao, haya ndiyo maono ambayo Mwenyezi-Mungu amenionesha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini ukikataa kujisalimisha, hili ndilo BWANA, alilonifunulia:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini ukikataa kujisalimisha, hili ndilo bwana alilonifunulia:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini kama ukikataa kutoka, hili ndilo neno ambalo BWANA amenionesha;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini kama ukikataa kujitoa mwenyewe na kujitia mikononi mwao, haya ndiyo maono ambayo Mwenyezi-Mungu amenionesha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini wewe ukikataa kuwatokea, basi, neno, Bwana alilonionyesha, ni hili:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini kama ukikataa kutoka, hili ndilo neno ambalo BWANA amenionyesha;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini kama ukikataa kujitoa mwenyewe na kujitia katika mikono yao, haya ndiyo maono ambayo Yawe amenionyesha.