Jeremiah 38:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sedekia akamwambia Yeremia: “Mtu yeyote asijue habari hizi, nawe hutauawa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Sedekia akamwambia Yeremia, “Usiruhusu mtu yeyote ajue kuhusu haya mazungumzo, la sivyo utakufa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo Sedekia akamwambia Yeremia, Mtu ye yote asipate habari ya maneno haya, nawe hutakufa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sedekia akamwambia Yeremia: “Mtu yeyote asijue habari hizi, nawe hutauawa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha Sedekia akamwambia Yeremia, “Mtu ye yote na asijue juu ya haya mazungumzo, la sivyo utakufa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha Sedekia akamwambia Yeremia, “Usiruhusu mtu yeyote ajue kuhusu haya mazungumzo, la sivyo utakufa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo Sedekia akamwambia Yeremia, Mtu yeyote asipate habari ya maneno haya, nawe hutakufa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sedekia akamwambia Yeremia: “Mtu yeyote asijue habari hizi, nawe hutauawa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Sedekia alipomwambia Yeremia: Mtu ye yote asiyajue haya maneno, wewe usife!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo Sedekia akamwambia Yeremia, Mtu ye yote asipate habari ya maneno haya, nawe hutakufa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Zedekia akamwambia Yeremia: Mutu yeyote asijue habari hizi, nawe hautauawa.