Jeremiah 38:25 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama viongozi wakisikia kuwa nimeongea nawe, kisha wakaja na kukuambia, ‘Hebu tuambie, ulizungumza nini na mfalme. Usitufiche chochote nasi hatutakuua’;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Maafisa wakisikia kwamba nimezungumza nawe, nao wakakujia na kusema, ‘Tuambie kile ulichozungumza na mfalme na kile mfalme alichokuambia, usitufiche au sivyo tutakuua,’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini kama wakuu wakisikia ya kuwa nimenena nawe, nao wakija kwako, na kukuambia, Tufunulie sasa uliyomwambia mfalme; usimfiche, nasi hatutakuua; na pia uliyoambiwa na mfalme;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama viongozi wakisikia kuwa nimeongea nawe, kisha wakaja na kukuambia, ‘Hebu tuambie, ulizungumza nini na mfalme. Usitufiche chochote nasi hatutakuua’;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ikiwa maafisa watasikia kwamba nimezungumza nawe, nao wakakujia na kusema, ‘Tuambie kile ulichozungumza na mfalme na kile mfalme alichokuambia, usitufiche au sivyo tutakuua,’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Maafisa wakisikia kwamba nimezungumza nawe, nao wakakujia na kusema, ‘Tuambie kile ulichozungumza na mfalme na kile mfalme alichokuambia, usitufiche au sivyo tutakuua,’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini kama wakuu wakisikia ya kuwa nimenena nawe, nao wakija kwako, na kukuambia, Tufunulie sasa uliyomwambia mfalme; usitufiche, nasi hatutakuua; na pia uliyoambiwa na mfalme;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama viongozi wakisikia kuwa nimeongea nawe, kisha wakaja na kukuambia, ‘Hebu tuambie, ulizungumza nini na mfalme. Usitufiche chochote nasi hatutakuua’;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama wakuu wanasikia, ya kuwa nimesema na wewe, wakija kwako kukuambia: Tusimulie, uliyomwambia mfalme, usitufiche! Hatutakuua, tusimulie nayo, mfalme aliyokuambia!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini kama wakuu wakisikia ya kuwa nimenena nawe, nao wakija kwako, na kukuambia, Tufunulie sasa uliyomwambia mfalme; usimfiche, nasi hatutakuua; na pia uliyoambiwa na mfalme;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama wakubwa wakisikia kwamba nimeongea nawe, kisha wakikuja na kukuambia: Basi utuambie, ulizungumuza nini na mufalme. Usitufiche chochote nasi hatutakuua;