Jeremiah 38:26 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
wewe utawaambia hivi: ‘Nilikuwa ninamsihi mfalme kwa unyenyekevu asinirudishe gerezani nyumbani kwa Yonathani, nisije nikafia huko.’”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
basi waambie, ‘Nilikuwa ninamsihi mfalme asinirudishe kwenye nyumba ya Yonathani nisije nikafia humo.’ ”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
basi, utawaambia, Nalimwomba mfalme asinirudishe nyumbani kwa Yonathani, nisije nikafa humo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
wewe utawaambia hivi: ‘Nilikuwa ninamsihi mfalme kwa unyenyekevu asinirudishe gerezani nyumbani kwa Yonathani, nisije nikafia huko.’”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
basi waambie, ‘Nilikuwa ninamsihi mfalme asinirudishe kwenye nyumba ya Yonathani nisije nikafia huko.’ ”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
basi waambie, ‘Nilikuwa ninamsihi mfalme asinirudishe kwenye nyumba ya Yonathani nisije nikafia humo.’ ”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
basi, utawaambia, Nilimwomba mfalme asinirudishe nyumbani kwa Yonathani, nisije nikafa humo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
wewe utawaambia hivi: ‘Nilikuwa ninamsihi mfalme kwa unyenyekevu asinirudishe gerezani nyumbani kwa Yonathani, nisije nikafia huko.’”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ndipo, utakapowaambia: Mimi nimekuwa nikimlalamikia mfalme na kumwangukia, asinirudishe nyumbani mwa Yonatani, nisifie mle!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
basi, utawaambia, Nalimwomba mfalme asinirudishe nyumbani kwa Yonathani, nisije nikafa humo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
wewe utawaambia hivi: Nilikuwa ninamusihi mufalme kwa unyenyekevu asinirudishe katika kifungo ndani ya nyumba ya Yonatani, nisikuje kukufia huko.