Jeremiah 38:28 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yeremia alibaki katika ukumbi wa walinzi mpaka siku mji wa Yerusalemu ulipotekwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Naye Yeremia akabaki katika ua wa walinzi hadi siku Yerusalemu ilipotekwa. Hivi ndivyo Yerusalemu ilivyotwaliwa:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Yeremia akakaa katika uwanda wa walinzi hata siku ile Yerusalemu ulipotwaliwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yeremia alibaki katika ukumbi wa walinzi mpaka siku mji wa Yerusalemu ulipotekwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Naye Yeremia akabaki katika ua wa walinzi mpaka siku Yerusalemu ilipotekwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Naye Yeremia akabaki katika ua wa walinzi hadi siku Yerusalemu ilipotekwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Yeremia akakaa katika ukumbi wa walinzi hadi siku ile Yerusalemu ulipotwaliwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yeremia alibaki katika ukumbi wa walinzi mpaka siku mji wa Yerusalemu ulipotekwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Yeremia akakaa uani penye kifungo mpaka siku ile, Yerusalemu ulipotekwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Yeremia akakaa katika uwanda wa walinzi hata siku ile Yerusalemu ulipotwaliwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yeremia alibaki katika chumba cha walinzi mpaka siku muji Yerusalema ulipotekwa.