Jeremiah 38:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini Ebedmeleki, towashi Mwethiopia aliyekuwa akifanya kazi katika ikulu, alipata habari kwamba walikuwa wamemtumbukiza Yeremia kisimani. Wakati huo mfalme alikuwa anabarizi penye lango la Benyamini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini Ebed-Meleki Mkushi, aliyekuwa afisa katika jumba la kifalme, akasikia kuwa walikuwa wamemtia Yeremia ndani ya kisima. Mfalme alipokuwa ameketi katika Lango la Benyamini,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi, Ebedmeleki, Mkushi, towashi, aliyekuwa katika nyumba ya mfalme, aliposikia kama wamemtia Yeremia shimoni; na wakati huo mfalme alikuwa amekaa katika lango la Benyamini;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini Ebedmeleki, towashi Mwethiopia aliyekuwa akifanya kazi katika ikulu, alipata habari kwamba walikuwa wamemtumbukiza Yeremia kisimani. Wakati huo mfalme alikuwa anabarizi penye lango la Benyamini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini Ebed-Meleki, Mkushi, aliyekuwa afisa katika jumba la kifalme, akasikia kuwa walikuwa wamemtia Yeremia ndani ya kisima. Wakati mfalme alipokuwa ameketi katika lango la Benyamini,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini Ebed-Meleki Mkushi, aliyekuwa afisa katika jumba la kifalme, akasikia kuwa walikuwa wamemtia Yeremia ndani ya kisima. Wakati mfalme alipokuwa ameketi katika Lango la Benyamini,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi, Ebedmeleki, Mkushi, towashi, aliyekuwa katika nyumba ya mfalme, aliposikia kwamba wamemtia Yeremia shimoni; na wakati huo mfalme alikuwa amekaa katika lango la Benyamini;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini Ebedmeleki, towashi Mwethiopia aliyekuwa akifanya kazi katika ikulu, alipata habari kwamba walikuwa wamemtumbukiza Yeremia kisimani. Wakati huo mfalme alikuwa anabarizi penye lango la Benyamini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mnubi Ebedimeleki aliyekuwa mtumishi nyumbani mwa mfalme akasikia, ya kuwa wamemtumbukiza Yeremia mle kisimani. Siku moja, mfalme alipokaa penye lango la Benyamini,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi, Ebedmeleki, Mkushi, towashi, aliyekuwa katika nyumba ya mfalme, aliposikia kama wamemtia Yeremia shimoni; na wakati huo mfalme alikuwa amekaa katika lango la Benyamini;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini Ebedimeleki, towashi Mwetiopia aliyetumika katika nyumba ya kifalme, alipata habari kwamba walikuwa wamemutia Yeremia katika kisima. Wakati huo mufalme alikuwa anafanya baraza kwenye mulango wa Benjamina.