Jeremiah 39:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nebukadneza mfalme wa Babuloni alikuwa amempa Nebuzaradani kapteni wa walinzi, amri ifuatayo kuhusu Yeremia:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi, Nebukadneza mfalme wa Babeli alikuwa ametoa maagizo kuhusu Yeremia kupitia Nebuzaradani mkuu wa askari walinzi wa mfalme akisema:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Nebukadreza, mfalme wa Babeli, akamwagiza Nebuzaradani, amiri wa askari walinzi, katika habari za Yeremia, akisema,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nebukadneza mfalme wa Babuloni alikuwa amempa Nebuzaradani kapteni wa walinzi, amri ifuatayo kuhusu Yeremia:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi, Nebukadneza mfalme wa Babeli alikuwa ametoa maagizo kuhusu Yeremia kupitia Nebuzaradani kiongozi wa walinzi wa kifalme akisema:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi, Nebukadneza mfalme wa Babeli alikuwa ametoa maagizo kuhusu Yeremia kupitia Nebuzaradani kiongozi wa walinzi wa mfalme akisema:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Nebukadneza, mfalme wa Babeli, akamwagiza Nebuzaradani, mkuu wa askari walinzi, katika habari za Yeremia, akisema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nebukadneza mfalme wa Babuloni alikuwa amempa Nebuzaradani kapteni wa walinzi, amri ifuatayo kuhusu Yeremia:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nebukadinesari mfalme wa Babeli, akamtia Yeremia mkononi mwa Nebuzaradani, mkuu wao waliomlinda mfalme, akimwagiza kwamba:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Nebukadreza, mfalme wa Babeli, akamwagiza Nebuzaradani, amiri wa askari walinzi, katika habari za Yeremia, akisema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nebukadneza mufalme wa Babeli alikuwa amemupa Nebuzaradani mukubwa wa walinzi, amri hii juu ya Yeremia: