Jeremiah 39:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Nebuzaradani kapteni wa walinzi, Nebushani, Nergal-shareza pamoja na maofisa wakuu wote wa mfalme wa Babuloni, wakatuma watu wamtoe Yeremia ukumbini mwa walinzi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi Nebuzaradani mkuu wa askari walinzi, Nebushazbani afisa mkuu, Nergal-Shareza afisa wa cheo cha juu, na maafisa wengine wote wa mfalme wa Babeli
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Nebuzaradani, amiri wa askari walinzi, na Nebu-Shazbani, mkuu wa matowashi, na Nergal-Shareza, mkuu wa wanajimu,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Nebuzaradani kapteni wa walinzi, Nebushani, Nergal-shareza pamoja na maofisa wakuu wote wa mfalme wa Babuloni, wakatuma watu wamtoe Yeremia ukumbini mwa walinzi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi Nebuzaradani kiongozi wa walinzi, Nebushazbani afisa mkuu, Nergal-Shareza afisa wa cheo cha juu na maafisa wengine wote wa mfalme wa Babeli
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi Nebuzaradani kiongozi wa walinzi, Nebushazbani afisa mkuu, Nergal-Shareza afisa wa cheo cha juu, na maafisa wengine wote wa mfalme wa Babeli
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Nebuzaradani, mkuu wa askari walinzi, na Nebu-Shazbani, mkuu wa matowashi, na Nergal-Shareza, mkuu wa wanajimu, na maofisa wote wakuu wa mfalme wa Babeli,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Nebuzaradani kapteni wa walinzi, Nebushani, Nergal-shareza pamoja na maofisa wakuu wote wa mfalme wa Babuloni, wakatuma watu wamtoe Yeremia ukumbini mwa walinzi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Nebuzaradani, mkuu wao waliomlinda mfalme, na Nebusazibani, mkuu wa watumishi wa nyumbani mwa mfalme, na Nergali-Sareseri, mkuu wa waaguaji, nao wakuu wote wa mfalme wa Babeli walipotuma,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Nebuzaradani, amiri wa askari walinzi, na Nebu-Shazbani, mkuu wa matowashi, na Nergal-Shareza, mkuu wa wanajimu, na maakida wakuu wote wa mfalme wa Babeli,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Nebuzaradani mukubwa wa walinzi, Nebusazibani, Nergali-Sarezeri pamoja na wakubwa wote wa mufalme wa Babeli, wakatuma watu wamwondoe Yeremia katika chumba cha walinzi.