Jeremiah 39:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia Yeremia wakati alipokuwa amefungwa katika ukumbi wa walinzi:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeremia alipokuwa amezuiliwa katika ua wa walinzi, neno la Mwenyezi Mungu lilimjia kusema:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi neno la Bwana likamjia Yeremia, wakati ule alipokuwa amefungwa katika uwanda wa walinzi, kusema,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia Yeremia wakati alipokuwa amefungwa katika ukumbi wa walinzi:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati Yeremia alipokuwa amezuiliwa katika ua wa walinzi, neno la BWANA lilimjia kusema:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati Yeremia alipokuwa amezuiliwa katika ua wa walinzi, neno la bwana lilimjia kusema:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi neno la BWANA likamjia Yeremia, wakati ule alipokuwa amefungwa katika ukumbi wa walinzi, kusema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia Yeremia wakati alipokuwa amefungwa katika ukumbi wa walinzi:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Neno la Bwana lilimjia Yeremia, alipokuwa amefungwa uani penye kifungo, kwamba:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi neno la BWANA likamjia Yeremia, wakati ule alipokuwa amefungwa katika uwanda wa walinzi, kusema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati Yeremia alipokuwa amefungwa katika chumba cha walinzi, neno la Yawe lilimufikia kusema hivi: