Jeremiah 39:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini siku hiyo mimi nitakuokoa wewe, wala hutatiwa mikononi mwa watu unaowaogopa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini siku hiyo nitakuokoa, asema Mwenyezi Mungu; hutatiwa mikononi mwa wale unaowaogopa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini nitakuokoa wewe katika siku hiyo, asema Bwana; wala hutatiwa katika mikono ya watu wale unaowaogopa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini siku hiyo mimi nitakuokoa wewe, wala hutatiwa mikononi mwa watu unaowaogopa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini siku hiyo nitakuokoa, asema BWANA; hutatiwa mikononi mwa wale unaowaogopa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini siku hiyo nitakuokoa, asema bwana; hutatiwa mikononi mwa wale unaowaogopa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini nitakuokoa wewe katika siku hiyo, asema BWANA; wala hutatiwa katika mikono ya watu wale unaowaogopa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini siku hiyo mimi nitakuokoa wewe, wala hutatiwa mikononi mwa watu unaowaogopa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini ndivyo, asemavyo Bwana: Wewe nitakuponya siku hiyo, hutatiwa mikononi mwao watu wale, unaowaogopa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini nitakuokoa wewe katika siku hiyo, asema BWANA; wala hutatiwa katika mikono ya watu wale unaowaogopa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini siku hiyo mimi nitakuokoa wewe, wala hautatiwa katika mikono ya watu unaowaogopa.