Jeremiah 39:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Na katika siku ya tisa ya mwezi wa nne, mwaka wa kumi na moja wa utawala wa Sedekia, sehemu ya ukuta wa mji ilibomolewa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika siku ya tisa ya mwezi wa nne wa mwaka wa kumi na moja wa utawala wa Sedekia, ukuta wa mji ulibomolewa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
katika mwaka wa kumi na mmoja wa Sedekia, mwezi wa nne, siku ya kenda ya mwezi, sehemu ya ukuta wa mji ilibomolewa;)
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Na katika siku ya tisa ya mwezi wa nne, mwaka wa kumi na moja wa utawala wa Sedekia, sehemu ya ukuta wa mji ilibomolewa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika siku ya tisa ya mwezi wa nne wa mwaka wa kumi na moja wa utawala wa Sedekia kutawala, ukuta wa mji ulibomolewa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika siku ya tisa ya mwezi wa nne wa mwaka wa kumi na moja wa utawala wa Sedekia, ukuta wa mji ulibomolewa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
katika mwaka wa kumi na mmoja wa Sedekia, mwezi wa nne, siku ya tisa ya mwezi, sehemu ya ukuta wa mji ilibomolewa;)
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Na katika siku ya tisa ya mwezi wa nne, mwaka wa kumi na moja wa utawala wa Sedekia, sehemu ya ukuta wa mji ilibomolewa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Katika mwaka wa 11 wa Sedekia katika mwezi wa nne siku ya tisa boma la mji likabomolewa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
katika mwaka wa kumi na mmoja wa Sedekia, mwezi wa nne, siku ya kenda ya mwezi, sehemu ya ukuta wa mji ilibomolewa;)
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na katika siku ya kenda ya mwezi wa ine, mwaka wa kumi na moja wa utawala wa Zedekia, sehemu ya ukuta wa muji ilibomolewa.