Jeremiah 39:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hukohuko Ribla, mfalme wa Babuloni aliwaua wana wa Sedekia mbele ya baba yao. Aliwaua pia maofisa wote wa Yuda.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Huko Ribla, mfalme wa Babeli aliwachinja wana wa Sedekia mbele ya macho yake, na pia akawaua wakuu wote wa Yuda.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo mfalme wa Babeli akawaua wana wa Sedekia huko Ribla mbele ya macho yake; pia mfalme wa Babeli akawaua wakuu wote wa Yuda.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hukohuko Ribla, mfalme wa Babuloni aliwaua wana wa Sedekia mbele ya baba yao. Aliwaua pia maofisa wote wa Yuda.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Huko Ribla, mfalme wa Babeli aliwachinja wana wa Sedekia mbele ya macho yake na akawaua wakuu wote wa Yuda.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Huko Ribla, mfalme wa Babeli aliwachinja wana wa Sedekia mbele ya macho yake, na pia akawaua wakuu wote wa Yuda.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo mfalme wa Babeli akawaua wana wa Sedekia huko Ribla mbele ya macho yake; pia mfalme wa Babeli akawaua wakuu wote wa Yuda.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hukohuko Ribla, mfalme wa Babuloni aliwaua wana wa Sedekia mbele ya baba yao. Aliwaua pia maofisa wote wa Yuda.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mfalme wa Babeli akawaua wana wa Sedekia machoni pake yeye huko Ribula, nao wakuu wote wa Yuda mfalme wa Babeli akawaua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo mfalme wa Babeli akawaua wana wa Sedekia huko Ribla mbele ya macho yake; pia mfalme wa Babeli akawaua wakuu wote wa Yuda.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kulekule Ribla, mufalme wa Babeli aliwaua wana wa Zedekia mbele ya baba yao. Waliwaua vilevile wakubwa wote wa Yuda.