Jeremiah 39:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha alingoa macho yake Sedekia na kumfunga pingu, ili ampeleke Babuloni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha akayang’oa macho ya Sedekia na kumfunga kwa pingu za shaba na kumpeleka Babeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Pamoja na hayo akampofusha macho Sedekia, akamfunga kwa pingu ili amchukue mpaka Babeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha aling'oa macho yake Sedekia na kumfunga pingu, ili ampeleke Babuloni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha akang'oa macho ya Sedekia na kumfunga kwa pingu za shaba, na kumpeleka Babeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha akayang’oa macho ya Sedekia na kumfunga kwa pingu za shaba na kumpeleka Babeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Pamoja na hayo akampofusha macho Sedekia, akamfunga kwa pingu ili amchukue mpaka Babeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha alingoa macho yake Sedekia na kumfunga pingu, ili ampeleke Babuloni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akayapofua macho ya Sedekia, akamfunga kwa minyororo, ampeleke Babeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Pamoja na hayo akampofusha macho Sedekia, akamfunga kwa pingu ili amchukue mpaka Babeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha aliongoa macho ya Zedekia na kumufunga kwa minyororo, kusudi amupeleke Babeli.