Jeremiah 4:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Ukitaka kurudi ee Israeli, nirudie mimi. Ukiviondoa vitu vya kuchukiza mbele yangu, usipotangatanga huko na huko,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Ikiwa utataka kurudi, ee Israeli, nirudie mimi,” asema Mwenyezi Mungu. “Ikiwa utaondoa sanamu zako za kuchukiza mbele ya macho yangu na usiendelee kutangatanga,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kama ukitaka kurudi, Ee Israeli, asema Bwana, utanirudia mimi; na kama ukitaka kuyaondoa machukizo yako, yasiwe mbele ya macho yangu, ndipo hutaondolewa;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Ukitaka kurudi ee Israeli, nirudie mimi. Ukiviondoa vitu vya kuchukiza mbele yangu, usipotangatanga huko na huko,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Ikiwa utataka kurudi, Ee Israeli, nirudie mimi,” asema BWANA. “Ikiwa utataka kuachilia mbali na macho yangu sanamu zako za kuchukiza na usiendelee kutangatanga,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Ikiwa utataka kurudi, ee Israeli, nirudie mimi,” asema bwana. “Ikiwa utaondoa sanamu zako za kuchukiza mbele ya macho yangu na usiendelee kutangatanga,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kama ukitaka kurudi, Ee Israeli, asema BWANA, utanirudia mimi; na kama ukitaka kuyaondoa machukizo yako, yasiwe mbele ya macho yangu, ndipo hutaondolewa;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Ukitaka kurudi ee Israeli, nirudie mimi. Ukiviondoa vitu vya kuchukiza mbele yangu, usipotangatanga huko na huko,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndivyo, asemavyo Bwana: Kama utarudi, Isiraeli, rudi kwangu! Kama utayaondoa matapisho yako machoni pangu, hutafukuzwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kama ukitaka kurudi, Ee Israeli, asema BWANA, utanirudia mimi; na kama ukitaka kuyaondoa machukizo yako, yasiwe mbele ya macho yangu, ndipo hutaondolewa;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe anasema hivi: Ukitaka kurudi, ee Israeli, unirudilie mimi. –Ni ujumbe wa Yawe.– Ukiviondoa vitu vyako vya kuchukiza mbele yangu, usipotangatanga huko na huko,