Jeremiah 4:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha nikasema: “Aa, Mwenyezi-Mungu, hakika umewadanganya kabisa watu hawa na mji wa Yerusalemu! Uliwaambia mambo yatawaendea vema, kumbe maisha yao yamo hatarini kabisa!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo niliposema, “Aa, Bwana Mungu Mwenyezi, hakika umewadanganya watu hawa na Yerusalemu kwa kusema, ‘Mtakuwa na amani,’ wakati upanga uko kooni!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nikasema, Aa, Bwana MUNGU! Hakika umewadanganya sana watu hawa na Yerusalemu, ukisema, Mtakuwa na amani lakini upanga umeingia katika nafsi za watu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha nikasema: “Aa, Mwenyezi-Mungu, hakika umewadanganya kabisa watu hawa na mji wa Yerusalemu! Uliwaambia mambo yatawaendea vema, kumbe maisha yao yamo hatarini kabisa!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo niliposema, “Aa, BWANA Mwenyezi, umewadanganyaje kabisa watu hawa na Yerusalemu kwa kusema, ‘Mtakuwa na amani,’ wakati upanga uko kwenye makoo yetu!”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo niliposema, “Aa, bwana Mwenyezi, umewadanganyaje kabisa watu hawa na Yerusalemu kwa kusema, ‘Mtakuwa na amani,’ wakati upanga uko kwenye koo zetu!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nikasema, Aa, Bwana MUNGU! Hakika umewadanganya sana watu hawa na Yerusalemu, ukisema, Mtakuwa na amani lakini upanga umeingia katika nafsi za watu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha nikasema: “Aa, Mwenyezi-Mungu, hakika umewadanganya kabisa watu hawa na mji wa Yerusalemu! Uliwaambia mambo yatawaendea vema, kumbe maisha yao yamo hatarini kabisa!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nikasema: E Bwana Mungu! Kweli umewapoteza watu wa ukoo huu nao Wayerusalemu ulipowaambia: Mtakaa na kutengemana! Kumbe sasa upanga umewafikia rohoni!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nikasema, Aa, Bwana MUNGU! Hakika umewadanganya sana watu hawa na Yerusalemu, ukisema, Mtakuwa na amani lakini upanga umeingia katika nafsi za watu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha nikasema: Ee, Bwana wangu Yawe, hakika umewadanganya kabisa watu hawa, nao Yerusalema! Uliwaambia mambo yataongoka vizuri kwao, kumbe maisha yao yako katika hatari kabisa!