Jeremiah 4:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
bali ni upepo mkali sana utokao kwangu. Ni mimi Mwenyezi-Mungu nitakayetoa hukumu juu yao.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
upepo wenye nguvu sana kuliko wa kupepeta na kutakasa utakuja kwa amri yangu. Sasa natangaza hukumu zangu dhidi yao.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ni upepo wa nguvu kuliko hizo utakaokuja kwa ajili yangu; sasa mimi nitatoa hukumu juu yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
bali ni upepo mkali sana utokao kwangu. Ni mimi Mwenyezi-Mungu nitakayetoa hukumu juu yao.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
upepo wenye nguvu sana kuliko wa kupepeta na kutakasa utakuja kwa amri yangu. Sasa natangaza hukumu zangu dhidi yao.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
upepo wenye nguvu sana kuliko wa kupepeta na kutakasa utakuja kwa amri yangu. Sasa natangaza hukumu zangu dhidi yao.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ni upepo wa nguvu kuliko hizo utakaokuja kwa ajili yangu; sasa mimi nitatoa hukumu juu yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
bali ni upepo mkali sana utokao kwangu. Ni mimi Mwenyezi-Mungu nitakayetoa hukumu juu yao.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ni upepo mkali zaidi, hauiwezi kazi hiyo, ukanijia; sasa mimi nitasema nao yawapasayo, yawapate.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ni upepo wa nguvu kuliko hizo utakaokuja kwa ajili yangu; sasa mimi nitatoa hukumu juu yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
lakini ni upepo mukali sana unaotoka kwangu. Ni mimi Yawe nitakayetoa hukumu juu yao.