Jeremiah 4:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tazama! Adui anakuja kama mawingu. Magari yake ya vita ni kama kimbunga, na farasi wake waenda kasi kuliko tai. Ole wetu! Tumeangamia!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tazama! Anakuja kama mawingu, magari yake ya vita yanakuja kama upepo wa kisulisuli, farasi wake wana mbio kuliko tai. Ole wetu! Tunaangamia!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tazama atapanda juu kama mawingu, na magari yake ya vita yatakuwa kama kisulisuli; farasi zake ni wepesi kuliko tai. Ole wetu, kwa sababu tumeharibika.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tazama! Adui anakuja kama mawingu. Magari yake ya vita ni kama kimbunga, na farasi wake waenda kasi kuliko tai. Ole wetu! Tumeangamia!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tazama! Anakuja kama mawingu, magari yake yanakuja kama upepo wa kisulisuli, farasi wake ni wenye mbio kuliko tai. Ole wetu! Tunaangamia!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tazama! Anakuja kama mawingu, magari yake yanakuja kama upepo wa kisulisuli, farasi wake wana mbio kuliko tai. Ole wetu! Tunaangamia!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tazama atapanda juu kama mawingu, na magari yake ya vita yatakuwa kama kisulisuli; farasi wake ni wepesi kuliko tai. Ole wetu, kwa sababu tumeharibika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tazama! Adui anakuja kama mawingu. Magari yake ya vita ni kama kimbunga, na farasi wake waenda kasi kuliko tai. Ole wetu! Tumeangamia!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tazameni, anapanda kama mawingu, magari yake ni kama kimbunga, farasi wake wanakwenda mbiombio kuliko tai. A, tumekwisha kupatwa, tunaangamia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tazama atapanda juu kama mawingu, na magari yake ya vita yatakuwa kama kisulisuli; farasi zake ni wepesi kuliko tai. Ole wetu, kwa sababu tumeharibika.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Angalia! Adui anakuja akivuma kama mawingu. Magari yake ya vita ni kama zoruba, nao farasi wake wa vita wanaruka mbio kuliko tai. Ole kwetu! Tumeangamia!