Jeremiah 4:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yerusalemu, yasafishe maovu moyoni mwako, ili upate kuokolewa. Mpaka lini utaendelea kuwaza maovu?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Yerusalemu, usafishe uovu kutoka moyoni mwako, uokolewe. Utaendelea kuficha mawazo yako potovu hadi lini?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Yerusalemu, jioshe moyo wako usiwe na uovu, upate kuokoka. Mawazo yako mabaya yatakaa ndani yako hata lini?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yerusalemu, yasafishe maovu moyoni mwako, ili upate kuokolewa. Mpaka lini utaendelea kuwaza maovu?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee Yerusalemu, uusafishe uovu kutoka moyoni mwako na uokolewe. Utaendelea kuficha mawazo mapotovu mpaka lini?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee Yerusalemu, usafishe uovu kutoka moyoni mwako na uokolewe. Utaendelea kuficha mawazo mapotovu mpaka lini?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee Yerusalemu, jioshe moyo wako usiwe na uovu, upate kuokoka. Mawazo yako mabaya yatakaa ndani yako hata lini?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yerusalemu, yasafishe maovu moyoni mwako, ili upate kuokolewa. Mpaka lini utaendelea kuwaza maovu?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ifueni mioyo yenu, Wayerusalemu, ubaya uitoke, mpate kuokolewa! Mawazo yako maovu yatakaa mpaka lini ndani yako?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee Yerusalemu, jioshe moyo wako usiwe na uovu, upate kuokoka. Mawazo yako mabaya yatakaa ndani yako hata lini?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe Yerusalema, usafishe maovu ya moyo wako, kusudi upate kuokolewa. Mpaka wakati gani utaendelea kuchunga maovu?