Jeremiah 4:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sauti kutoka Dani inatoa taarifa; inatangaza maafa kutoka vilima vya Efraimu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sauti inatangaza kutoka Dani, ikipiga mbiu ya maafa kutoka vilima vya Efraimu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana sauti yatangaza habari toka Dani, yahubiri uovu toka vilima vya Efraimu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sauti kutoka Dani inatoa taarifa; inatangaza maafa kutoka vilima vya Efraimu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sauti inatangaza kutoka Dani, ikipiga mbiu ya maafa kutoka vilima vya Efraimu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sauti inatangaza kutoka Dani, ikipiga mbiu ya maafa kutoka vilima vya Efraimu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana sauti yatangaza habari toka Dani, yahubiri uovu toka vilima vya Efraimu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sauti kutoka Dani inatoa taarifa; inatangaza maafa kutoka vilima vya Efraimu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani inasikilika sauti ya mtangazaji atokaye nchi ya Dani, tena mwingine anapiga mbiu ya maovu atokaye milimani kwa Efuraimu kwamba:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana sauti yatangaza habari toka Dani, yahubiri uovu toka vilima vya Efraimu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sauti kutoka Dani inatoa tangazo; inatangaza hasara kutoka vilima vya Efuraimu.