Jeremiah 4:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Inayaonya mataifa, inaitangazia Yerusalemu: “Wavamizi waja kutoka nchi ya mbali, wanaitisha miji ya Yuda,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Waambie mataifa jambo hili, piga mbiu hii dhidi ya Yerusalemu: ‘Jeshi la kuzingira linakuja kutoka nchi ya mbali, likipiga kelele za vita dhidi ya miji ya Yuda.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wapasheni mataifa habari; angalieni, hubirini juu ya Yerusalemu, ya kwamba walinzi wanatoka katika nchi ya mbali, wanatoa sauti yao juu ya miji ya Yuda.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Inayaonya mataifa, inaitangazia Yerusalemu: “Wavamizi waja kutoka nchi ya mbali, wanaitisha miji ya Yuda,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Waambie mataifa jambo hili, piga mbiu hii dhidi ya Yerusalemu: ‘Jeshi la kuzingira linakuja kutoka nchi ya mbali, likipiga kelele ya vita dhidi ya miji ya Yuda.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Waambie mataifa jambo hili, piga mbiu hii dhidi ya Yerusalemu: ‘Jeshi la kuzingira linakuja kutoka nchi ya mbali, likipiga kelele ya vita dhidi ya miji ya Yuda.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wapasheni mataifa habari; angalieni, hubirini juu ya Yerusalemu, ya kwamba walinzi wanatoka katika nchi ya mbali, wanatoa sauti yao juu ya miji ya Yuda.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Inayaonya mataifa, inaitangazia Yerusalemu: “Wavamizi waja kutoka nchi ya mbali, wanaitisha miji ya Yuda,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yakumbusheni mataifa, yaipige mbiu hii kuifikisha Yerusalemu kwamba: Wenye kuvizia wanakuja, wanatoka nchi ya mbali, waipigie miji ya Yuda makelele yao ya vita.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wapasheni mataifa habari; angalieni, hubirini juu ya Yerusalemu, ya kwamba walinzi wanatoka katika nchi ya mbali, wanatoa sauti yao juu ya miji ya Yuda.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Inayaarifu mataifa, inaitangazia Yerusalema maneno haya: Washambulizi wanakuja kutoka inchi ya mbali, wanaitisha miji ya Yuda,