Jeremiah 4:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yuda, mwenendo wako na matendo yako yamekuletea hayo. Hayo ndiyo maafa yaliyokupata, tena ni machungu; yamepenya mpaka ndani moyoni mwako.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Mwenendo wako na matendo yako mwenyewe vimeleta haya juu yako. Hii ndiyo adhabu yako. Tazama jinsi ilivyo chungu! Tazama jinsi inavyochoma moyo!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Njia yako na matendo yako yamekupatia haya; huu ndio uovu wako; kwa maana ni uchungu, hakika unafikilia hata moyo wako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yuda, mwenendo wako na matendo yako yamekuletea hayo. Hayo ndiyo maafa yaliyokupata, tena ni machungu; yamepenya mpaka ndani moyoni mwako.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Mwenendo wako na matendo yako mwenyewe yameleta haya juu yako. Hii ndiyo adhabu yako. Tazama jinsi ilivyo chungu! Tazama jinsi inavyochoma moyo!”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Mwenendo wako na matendo yako mwenyewe yameleta haya juu yako. Hii ndiyo adhabu yako. Tazama jinsi ilivyo chungu! Tazama jinsi inavyochoma moyo!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Njia yako na matendo yako yamekupatia haya; huu ndio uovu wako; kwa maana ni uchungu, hakika unafikia hata moyo wako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yuda, mwenendo wako na matendo yako yamekuletea hayo. Hayo ndiyo maafa yaliyokupata, tena ni machungu; yamepenya mpaka ndani moyoni mwako.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwenendo wako na matendo yako yamekupatia haya; ubaya wako ndio unaokuletea huu uchungu, unakuchoma rohoni mwako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Njia yako na matendo yako yamekupatia haya; huu ndio uovu wako; kwa maana ni uchungu, hakika unafikilia hata moyo wako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe Yuda, hayo yote yamekupata kwa ajili ya mwenendo na matendo yako. Hiyo ndiyo hasara inayokufikia, tena ni yenye uchungu; yamepenya mpaka ndani ya moyo wako.