Jeremiah 4:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
ukiapa kwa ukweli, unyofu na uadilifu, kwa kusema, ‘Kama Mwenyezi-Mungu aishivyo’, ndipo mataifa yatakapopata baraka kwangu, na kutukuka kwa sababu yangu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ikiwa utaapa katika kweli, kwa haki na kwa unyofu, ‘Hakika kama Mwenyezi Mungu aishivyo,’ ndipo mataifa yatakapobarikiwa naye, na ndani yake watajitukuza.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nawe utaapa hivi, Kama Bwana aishivyo, katika kweli, na katika hukumu, na katika haki ndipo mataifa watajibariki katika yeye, nao watajitukuza katika yeye.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
ukiapa kwa ukweli, unyofu na uadilifu, kwa kusema, ‘Kama Mwenyezi-Mungu aishivyo’, ndipo mataifa yatakapopata baraka kwangu, na kutukuka kwa sababu yangu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ikiwa kwa kweli, kwa haki na kwa unyofu utaapa, ‘Kwa hakika kama vile BWANA aishivyo,’ ndipo mataifa yatakapobarikiwa naye na katika yeye watajitukuza.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ikiwa kwa kweli, kwa haki na kwa unyofu utaapa, ‘Kwa hakika kama vile bwana aishivyo,’ ndipo mataifa yatakapobarikiwa naye na katika yeye watajitukuza.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nawe utaapa hivi, Kama BWANA aishivyo, katika kweli, na katika hukumu, na katika haki ndipo mataifa watabarikiwa na yeye, nao watajitukuza katika yeye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
ukiapa kwa ukweli, unyofu na uadilifu, kwa kusema, ‘Kama Mwenyezi-Mungu aishivyo’, ndipo mataifa yatakapopata baraka kwangu, na kutukuka kwa sababu yangu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, utakapoapa na kumtaja Bwana kwa kweli na kwa unyofu na kwa wongofu. Nao wamizimu watajiombea mema kwake pamoja na kumshangilia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nawe utaapa hivi, Kama BWANA aishivyo, katika kweli, na katika hukumu, na katika haki ndipo mataifa watajibariki katika yeye, nao watajitukuza katika yeye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
ukiapa kwa ukweli, kwa kufuatana na sheria, na kwa haki, kwa kusema “Kama vile Yawe anavyoishi”, halafu mataifa yatapata baraka kutoka kwangu, na kutukuzwa kwa sababu yangu.