Jeremiah 4:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maafa baada ya maafa, nchi yote imeharibiwa. Ghafla makazi yangu yameharibiwa, na hata mapazia yake kwa dakika moja.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Maafa baada ya maafa, nchi yote imekuwa magofu. Kwa ghafula mahema yangu yameangamizwa, makazi yangu kwa muda mfupi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Uangamivu baada ya uangamivu umetangazwa; kwa maana nchi yote imeharibika; hema zangu zimetekwa nyara ghafula, na mapazia yangu katika dakika moja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maafa baada ya maafa, nchi yote imeharibiwa. Ghafla makazi yangu yameharibiwa, na hata mapazia yake kwa dakika moja.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Maafa baada ya maafa, nchi yote imekuwa magofu. Kwa ghafula mahema yangu yameangamizwa, makazi yangu kwa muda mfupi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Maafa baada ya maafa, nchi yote imekuwa magofu. Kwa ghafula mahema yangu yameangamizwa, makazi yangu kwa muda mfupi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Uangamivu baada ya uangamivu umetangazwa; kwa maana nchi yote imeharibika; hema zangu zimetekwa nyara ghafla, na mapazia yangu katika dakika moja.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maafa baada ya maafa, nchi yote imeharibiwa. Ghafla makazi yangu yameharibiwa, na hata mapazia yake kwa dakika moja.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Inatangazwa, jinsi mavunjiko yanavyofuata mavunjiko mengine, nchi yote nzima imeharibika, mara navyo vituo vyangu vimeharibiwa pamoja na mahema yangu kwa kitambo kimoja tu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Uangamivu baada ya uangamivu umetangazwa; kwa maana nchi yote imeharibika; hema zangu zimetekwa nyara ghafula, na mapazia yangu katika dakika moja.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wanatangaza hasara zisizokoma; inchi yote imeharibiwa. Kwa rafla mahema yetu yameharibiwa, mapazia yao yamepasuka kwa dakika moja.