Jeremiah 4:23 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Niliiangalia nchi, lo! Imekuwa mahame na tupu; nilizitazama mbingu, nazo hazikuwa na mwanga.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Niliitazama dunia, nayo haikuwa na umbo tena ni tupu; niliziangalia mbingu, mianga ilikuwa imetoweka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naliiangalia nchi, na tazama, ilikuwa ukiwa, haina watu; naliziangalia mbingu, nazo zilikuwa hazina nuru.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Niliiangalia nchi, lo! Imekuwa mahame na tupu; nilizitazama mbingu, nazo hazikuwa na mwanga.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Niliitazama dunia, nayo haikuwa na umbo tena ni tupu; niliziangalia mbingu, mianga ilikuwa imetoweka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Niliitazama dunia, nayo haikuwa na umbo tena ni tupu; niliziangalia mbingu, mianga ilikuwa imetoweka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Niliiangalia nchi, na tazama, ilikuwa ukiwa, haina watu; niliziangalia mbingu, nazo zilikuwa hazina nuru.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Niliiangalia nchi, lo! Imekuwa mahame na tupu; nilizitazama mbingu, nazo hazikuwa na mwanga.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nilipoitazama nchi, nikaiona kuwa peke yake tu pasipo kitu cho chote; nikazitazama mbingu nazo, lakini nako hakuna mwanga.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naliiangalia nchi, na tazama, ilikuwa ukiwa, haina watu; naliziangalia mbingu, nazo zilikuwa hazina nuru.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Niliangalia dunia, nikaona imekuwa ukiwa na tupu; niliangalia mbingu, nazo hazikukuwa na mwangaza.