Jeremiah 4:25 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nilikodoa macho wala sikuona mtu; hata ndege angani walikuwa wametoweka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nilitazama, wala hapakuwa na watu; kila ndege wa angani alikuwa ameruka zake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nikaangalia, na tazama, hapakuwa na mtu hata mmoja, na ndege wote wa angani wamekwenda zao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nilikodoa macho wala sikuona mtu; hata ndege angani walikuwa wametoweka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nilitazama, wala watu hawakuwepo; kila ndege wa angani alikuwa ameruka zake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nilitazama, wala watu hawakuwepo; kila ndege wa angani alikuwa ameruka zake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nikaangalia, na tazama, hapakuwa na mtu hata mmoja, na ndege wote wa angani wamekwenda zao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nilikodoa macho wala sikuona mtu; hata ndege angani walikuwa wametoweka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nikatazama, nikaona ya kuwa hakuna mtu, hata ndege wote wa angani walikuwa wamekimbia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nikaangalia, na tazama, hapakuwa na mtu hata mmoja, na ndege wote wa angani wamekwenda zao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Niliangalia wala sikuona mutu; hata ndege katika anga walikuwa wametoweka.