Jeremiah 4:27 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Nchi nzima itakuwa jangwa tupu; lakini sitaiharibu kabisa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivi ndivyo asemavyo Mwenyezi Mungu: “Nchi yote itaharibiwa, ingawa sitaiangamiza kabisa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana Bwana asema hivi, Nchi yote itakuwa ukiwa; lakini sitaikomesha kabisa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Nchi nzima itakuwa jangwa tupu; lakini sitaiharibu kabisa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivi ndivyo BWANA asemavyo: “Nchi yote itaharibiwa, ingawa sitaiangamiza kabisa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivi ndivyo bwana asemavyo: “Nchi yote itaharibiwa, ingawa sitaiangamiza kabisa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana BWANA asema hivi, Nchi yote itakuwa ukiwa; lakini sitaikomesha kabisa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Nchi nzima itakuwa jangwa tupu; lakini sitaiharibu kabisa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani Bwana alisema hivyo: Nchi yote nzima itakuwa jangwa, lakini sitaimaliza kabisa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana BWANA asema hivi, Nchi yote itakuwa ukiwa; lakini sitaikomesha kabisa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maana Yawe anasema hivi: Inchi nzima itakuwa jangwa tupu; lakini sitaiharibu kabisa.