Jeremiah 4:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu awaambia hivi watu wa Yuda na wakazi wa Yerusalemu: “Limeni mashamba yenu mapya; msipande mbegu zenu penye miiba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hili ndilo asemalo Mwenyezi Mungu kwa watu wa Yuda na kwa Yerusalemu: “Vunjeni mabonge kwenye mashamba yenu, wala msipande katikati ya miiba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana Bwana awaambia hivi watu wa Yuda na Yerusalemu Ulimeni udongo katika konde zenu, wala msipande mbegu kati ya miiba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu awaambia hivi watu wa Yuda na wakazi wa Yerusalemu: “Limeni mashamba yenu mapya; msipande mbegu zenu penye miiba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hili ndilo asemalo BWANA kwa watu wa Yuda na kwa Yerusalemu: “Vunjeni mabonge ya udongo kwenye mashamba yenu yasiyolimwa wala msipande katikati ya miiba.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hili ndilo asemalo bwana kwa watu wa Yuda na kwa Yerusalemu: “Vunjeni mabonge kwenye mashamba yenu, wala msipande katikati ya miiba.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana BWANA awaambia hivi watu wa Yuda na Yerusalemu, Ulimeni udongo katika konde zenu, wala msipande mbegu kati ya miiba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu awaambia hivi watu wa Yuda na wakazi wa Yerusalemu: “Limeni mashamba yenu mapya; msipande mbegu zenu penye miiba.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani hivyo Bwana aliwaambia waume wa Yuda nao wakaao Yerusalemu: Jilimieni shamba jipya, msipande miibani!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana BWANA awaambia hivi watu wa Yuda na Yerusalemu Ulimeni udongo katika konde zenu, wala msipande mbegu kati ya miiba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe anawaambia hivi watu wa Yuda na wakaaji wa Yerusalema: Mulime mashamba yenu mapya; musipande mbegu zenu penye miiba.