Jeremiah 40:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
wote walirudi kutoka mahali pote walipokuwa wametawanyika na kwenda katika nchi ya Yuda kwa Gedalia huko Mizpa. Walichuma zabibu na matunda ya kiangazi kwa wingi sana.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wakarudi wote katika nchi ya Yuda kwa Gedalia huko Mispa, kutoka nchi zote ambazo walikuwa wametawanywa. Nao wakavuna divai na matunda tele wakati wa kiangazi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
basi, Wayahudi wote wakarudi kutoka kila mahali walikofukuzwa wakaenda mpaka nchi ya Yuda, wakamwendea Gedalia huko Mizpa, wakakusanya divai, na matunda ya wakati wa jua mengi sana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
wote walirudi kutoka mahali pote walipokuwa wametawanyika na kwenda katika nchi ya Yuda kwa Gedalia huko Mizpa. Walichuma zabibu na matunda ya kiangazi kwa wingi sana.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wakarudi wote katika nchi ya Yuda kwa Gedalia huko Mizpa, kutoka nchi zote ambazo walikuwa wametawanywa. Nao wakavuna divai na matunda tele wakati wa kiangazi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wakarudi wote katika nchi ya Yuda kwa Gedalia huko Mispa, kutoka nchi zote ambazo walikuwa wametawanywa. Nao wakavuna divai na matunda tele wakati wa kiangazi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
basi, Wayahudi wote wakarudi kutoka kila mahali walikofukuzwa wakaenda mpaka nchi ya Yuda, wakamwendea Gedalia huko Mizpa, wakakusanya divai, na matunda ya wakati wa jua mengi sana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
wote walirudi kutoka mahali pote walipokuwa wametawanyika na kwenda katika nchi ya Yuda kwa Gedalia huko Mizpa. Walichuma zabibu na matunda ya kiangazi kwa wingi sana.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ndipo, waliporudi Wayuda wote wakitoka mahali po pote, walipotupiwa, wakaja Misipa katika nchi ya Yuda kwa Gedalia, wakachuma zabibu na matunda ya kiangazi mengi sana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
basi, Wayahudi wote wakarudi kutoka kila mahali walikofukuzwa wakaenda mpaka nchi ya Yuda, wakamwendea Gedalia huko Mizpa, wakakusanya divai, na matunda ya wakati wa jua mengi sana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
wote walirudi kutoka pahali pote walipokuwa wametawanyika na kwenda katika inchi ya Yuda kwa Gedalia kule Misipa. Walichuma zabibu na matunda mengine kwa wingi sana.