Jeremiah 40:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Yohanani mwana wa Karea pamoja na viongozi wote wa majeshi kutoka bara, walifika kwa Gedalia, huko Mizpa, wakamwambia,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yohanani mwana wa Karea pamoja na maafisa wote wa jeshi waliokuwa bado wapo kwenye eneo la wazi wakamjia Gedalia huko Mispa
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena Yohana, mwana wa Karea, na wakuu wote wa majeshi ya barani, wakamwendea Gedalia huko Mizpa,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Yohanani mwana wa Karea pamoja na viongozi wote wa majeshi kutoka bara, walifika kwa Gedalia, huko Mizpa, wakamwambia,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yohanani mwana wa Karea pamoja na maafisa wote wa jeshi waliokuwa bado wapo kwenye eneo la wazi wakamjia Gedalia huko Mizpa
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yohanani mwana wa Karea pamoja na maafisa wote wa jeshi waliokuwa bado wapo kwenye eneo la wazi wakamjia Gedalia huko Mispa
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena Yohana, mwana wa Karea, na wakuu wote wa majeshi ya barani, wakamwendea Gedalia huko Mizpa,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Yohanani mwana wa Karea pamoja na viongozi wote wa majeshi kutoka bara, walifika kwa Gedalia, huko Mizpa, wakamwambia,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yohana, mwana wa Karea, nao wakuu wote wa vikosi waliokuwa porini bado walipokuja Misipa kwa Gedalia,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena Yohana, mwana wa Karea, na wakuu wote wa majeshi ya barani, wakamwendea Gedalia huko Mizpa,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Yohana mwana wa Karea pamoja na wakubwa wote wa waaskari kutoka katika pori, walifika kwa Gedalia, kule Misipa, wakamwambia: