Jeremiah 40:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini Gedalia mwana wa Ahikamu, akamwambia Yohanani mwana wa Karea, “Usifanye jambo hilo! Mambo unayosema juu ya Ishmaeli si ya kweli!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini Gedalia mwana wa Ahikamu akamwambia Yohanani mwana wa Karea, “Usifanye jambo hilo! Unalosema kuhusu Ishmaeli si kweli.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini Gedalia, mwana wa Ahikamu, akamwambia Yohana, mwana wa Karea, Usilitende jambo hili, maana unamsingizia Ishmaeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini Gedalia mwana wa Ahikamu, akamwambia Yohanani mwana wa Karea, “Usifanye jambo hilo! Mambo unayosema juu ya Ishmaeli si ya kweli!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini Gedalia mwana wa Ahikamu akamwambia Yohanani mwana wa Karea, “Usifanye jambo kama hilo! Unalosema kuhusu Ishmaeli si kweli.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini Gedalia mwana wa Ahikamu akamwambia Yohanani mwana wa Karea, “Usifanye jambo kama hilo! Unalosema kuhusu Ishmaeli si kweli.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini Gedalia, mwana wa Ahikamu, akamwambia Yohana, mwana wa Karea, Usilitende jambo hili, maana unamsingizia Ishmaeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini Gedalia mwana wa Ahikamu, akamwambia Yohanani mwana wa Karea, “Usifanye jambo hilo! Mambo unayosema juu ya Ishmaeli si ya kweli!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini Gedalia, mwana wa Ahikamu, akamwambia Yohana, mwana wa Karea: Usilifanye neno hili! Kwani unamsemea Isimaeli uwongo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini Gedalia, mwana wa Ahikamu, akamwambia Yohana, mwana wa Karea, Usilitende jambo hili, maana unamsingizia Ishmaeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini Gedalia mwana wa Ahikamu akamwambia Yohana mwana wa Karea hivi: Usifanye jambo hilo! Mambo unayosema juu ya Isimaeli si ya kweli!