Jeremiah 40:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kapteni wa walinzi alimchukua Yeremia, akamwambia “Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, alitangaza maafa dhidi ya mahali hapa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mkuu wa askari walinzi alipomwona Yeremia, akamwambia, “Mwenyezi Mungu, Mungu wako, aliamuru maafa haya kutokea mahali hapa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye amiri wa askari walinzi akamtwaa Yeremia, akamwambia, Bwana, Mungu wako, alitamka mabaya haya juu ya mahali hapa;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kapteni wa walinzi alimchukua Yeremia, akamwambia “Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, alitangaza maafa dhidi ya mahali hapa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kiongozi wa walinzi alipomwona Yeremia, akamwambia, “BWANA Mungu wako aliamuru maafa haya kwa ajili ya mahali hapa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kiongozi wa walinzi alipomwona Yeremia, akamwambia, “ bwana Mwenyezi Mungu wako aliamuru maafa haya kwa mahali hapa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye mkuu wa askari walinzi akamtwaa Yeremia, akamwambia, BWANA, Mungu wako, alitamka mabaya haya juu ya mahali hapa;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kapteni wa walinzi alimchukua Yeremia, akamwambia “Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, alitangaza maafa dhidi ya mahali hapa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hapo, mkuu wao waliomlinda mfalme alipomchukua Yeremia, akamwambia: Bwana Mungu wako aliyasema haya mabaya, ya kuwa yatapajia mahali hapa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye amiri wa askari walinzi akamtwaa Yeremia, akamwambia, BWANA, Mungu wako, alitamka mabaya haya juu ya mahali hapa;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mukubwa wa walinzi alimukamata Yeremia, akamwambia: Yawe, Mungu wako, alitangaza hasara juu ya pahali hapa.