Jeremiah 40:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Na sasa Mwenyezi-Mungu ametekeleza jambo hilo na kutenda kama alivyosema, kwa sababu nyinyi nyote mlimkosea Mwenyezi-Mungu na kukataa kumtii, jambo hilo limewapata.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sasa Mwenyezi Mungu ameyaleta haya, amefanya sawasawa na alivyosema angefanya. Yote haya yametokea kwa sababu ninyi mlifanya dhambi dhidi ya Mwenyezi Mungu na hamkumtii.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
naye Bwana ameyaleta, na kufanya kama alivyosema; kwa sababu mmemwasi Bwana, wala hamkuitii sauti yake; ndiyo maana neno hili limewajia ninyi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Na sasa Mwenyezi-Mungu ametekeleza jambo hilo na kutenda kama alivyosema, kwa sababu nyinyi nyote mlimkosea Mwenyezi-Mungu na kukataa kumtii, jambo hilo limewapata.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sasa BWANA ameyaleta haya, amefanya sawasawa na alivyosema kwamba angefanya. Yote haya yametokea kwa sababu ninyi watu mlifanya dhambi dhidi ya BWANA na hamkumtii.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sasa bwana ameyaleta haya, amefanya sawasawa na vile alivyosema angefanya. Yote haya yametokea kwa sababu ninyi mlifanya dhambi dhidi ya bwana na hamkumtii.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
naye BWANA ameyaleta, na kufanya kama alivyosema; kwa sababu mmemwasi BWANA, wala hamkuitii sauti yake; ndiyo maana neno hili limewajia ninyi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Na sasa Mwenyezi-Mungu ametekeleza jambo hilo na kutenda kama alivyosema, kwa sababu nyinyi nyote mlimkosea Mwenyezi-Mungu na kukataa kumtii, jambo hilo limewapata.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Basi, ameyaleta, akayafanya, kama alivyoyasema, kwani mmemkosea Bwana, msipoisikia sauti yake; ndipo, jambo hili lilipofanyika kwenu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
naye BWANA ameyaleta, na kufanya kama alivyosema; kwa sababu mmemwasi BWANA, wala hamkuitii sauti yake; ndiyo maana neno hili limewajia ninyi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na sasa Yawe ametimiza jambo hilo na kutenda kama alivyosema. Kwa sababu ninyi wote mulimukosea Yawe na kukataa kumutii, jambo hilo limewapata.