Jeremiah 41:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini Yohanani mwana wa Karea, pamoja na viongozi wote wa majeshi, waliposikia juu ya uovu ambao Ishmaeli mwana wa Nethania, alikuwa ameufanya,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yohanani mwana wa Karea na maafisa wote wa jeshi waliokuwa pamoja naye waliposikia kuhusu uhalifu wote ambao Ishmaeli mwana wa Nethania alikuwa ameufanya,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini Yohana, mwana wa Karea, na maakida wote wa majeshi waliokuwa pamoja naye, waliposikia habari za hayo mabaya yote aliyoyatenda Ishmaeli, mwana wa Nethania,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini Yohanani mwana wa Karea, pamoja na viongozi wote wa majeshi, waliposikia juu ya uovu ambao Ishmaeli mwana wa Nethania, alikuwa ameufanya,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ikawa Yohanani mwana wa Karea na maafisa wote wa jeshi waliokuwa pamoja naye waliposikia juu ya uhalifu wote ambao Ishmaeli mwana wa Nethania alikuwa ameufanya,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yohanani mwana wa Karea na maafisa wote wa jeshi waliokuwa pamoja naye waliposikia juu ya uhalifu wote ambao Ishmaeli mwana wa Nethania alikuwa ameufanya,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini Yohana, mwana wa Karea, na makamanda wote wa majeshi waliokuwa pamoja naye, waliposikia habari za hayo mabaya yote aliyoyatenda Ishmaeli, mwana wa Nethania,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini Yohanani mwana wa Karea, pamoja na viongozi wote wa majeshi, waliposikia juu ya uovu ambao Ishmaeli mwana wa Nethania, alikuwa ameufanya,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yohana, mwana wa Karea, nao wakuu wote wa vikosi waliokuwa naye walipoyasikia hayo mabaya yote Isimaeli, mwana wa Netania, aliyoyafanya,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini Yohana, mwana wa Karea, na maakida wote wa majeshi waliokuwa pamoja naye, waliposikia habari za hayo mabaya yote aliyoyatenda Ishmaeli, mwana wa Nethania,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini Yohana mwana wa Karea, pamoja na wakubwa wote wa waaskari, waliposikia juu ya uovu ambao Isimaeli mwana wa Netania, alikuwa ameufanya,