Jeremiah 41:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
waliwakusanya watu wao wote, wakaenda kupigana na Ishmaeli. Walimkuta penye bwawa kuu lililoko Gibeoni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
waliwachukua watu wao wote kwenda kupigana na Ishmaeli mwana wa Nethania. Wakakutana naye karibu na bwawa kubwa huko Gibeoni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wakawatwaa watu wote, wakaenda ili kupigana na Ishmaeli, mwana wa Nethania, nao wakampata karibu na maji makuu ya Gibeoni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
waliwakusanya watu wao wote, wakaenda kupigana na Ishmaeli. Walimkuta penye bwawa kuu lililoko Gibeoni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
waliwachukua watu wao wote kwenda kupigana na Ishmaeli mwana wa Nethania. Wakakutana naye karibu na bwawa kubwa huko Gibeoni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
waliwachukua watu wao wote kwenda kupigana na Ishmaeli mwana wa Nethania. Wakakutana naye karibu na bwawa kubwa huko Gibeoni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wakawatwaa watu wote, wakaenda ili kupigana na Ishmaeli, mwana wa Nethania, nao wakampata karibu na maji makuu ya Gibeoni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
waliwakusanya watu wao wote, wakaenda kupigana na Ishmaeli. Walimkuta penye bwawa kuu lililoko Gibeoni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wakawachukua watu wote, wakaenda kupigana na Isimaeli, mwana wa Netania, wakamwona penye maji mengi karibu ya Gibeoni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wakawatwaa watu wote, wakaenda ili kupigana na Ishmaeli, mwana wa Nethania, nao wakampata karibu na maji makuu ya Gibeoni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
waliwakusanya watu wao wote, wakaenda kupigana na Isimaeli. Walimukuta kwenye kisima kikubwa cha Gibeoni.