Jeremiah 41:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wote waliotekwa na Ishmaeli walipomwona Yohanani mwana wa Karea, pamoja na viongozi wote wa majeshi, walifurahi sana.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ikawa watu wote waliokuwa na Ishmaeli walipomwona Yohanani mwana wa Karea pamoja na maafisa wa jeshi waliokuwa pamoja naye, wakafurahi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi, ikawa, watu wote waliokuwa pamoja na Ishmaeli, walipomwona Yohana, mwana wa Karea, na hao maakida wote wa majeshi waliokuwa pamoja naye, ndipo wakafurahi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wote waliotekwa na Ishmaeli walipomwona Yohanani mwana wa Karea, pamoja na viongozi wote wa majeshi, walifurahi sana.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ikawa watu wote waliokuwa na Ishmaeli walipomwona Yohanani mwana wa Karea pamoja na maafisa wa jeshi waliokuwa pamoja naye, wakafurahi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ikawa watu wote waliokuwa na Ishmaeli walipomwona Yohanani mwana wa Karea pamoja na maafisa wa jeshi waliokuwa pamoja naye, wakafurahi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi, ikawa, watu wote waliokuwa pamoja na Ishmaeli, walipomwona Yohana, mwana wa Karea, na hao makamanda wote wa majeshi waliokuwa pamoja naye, ndipo wakafurahi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wote waliotekwa na Ishmaeli walipomwona Yohanani mwana wa Karea, pamoja na viongozi wote wa majeshi, walifurahi sana.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ikawa, watu wote wa ukoo huu waliokuwa na Isimaeli walipomwona Yohana, mwana wa Karea, nao wakuu wote wa vikosi waliokuwa naye, wakafurahi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi, ikawa, watu wote waliokuwa pamoja na Ishmaeli, walipomwona Yohana, mwana wa Karea, na hao maakida wote wa majeshi waliokuwa pamoja naye, ndipo wakafurahi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wote waliotekwa na Isimaeli walipomwona Yohana mwana wa Karea, pamoja na wakubwa wote wa waaskari, walifurahi sana.