Jeremiah 41:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, watu hao wote ambao Ishmaeli alikuwa amewachukua mateka kutoka Mizpa, waligeuka, wakarudi nyuma, wakamwendea Yohanani mwana wa Karea.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watu wote ambao Ishmaeli alikuwa amewachukua mateka huko Mispa wakageuka na kumfuata Yohanani mwana wa Karea.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi, watu wote, ambao Ishmaeli amewachukua mateka kutoka Mizpa, wakazunguka, wakarudi, wakamwendea Yohana, mwana wa Karea.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, watu hao wote ambao Ishmaeli alikuwa amewachukua mateka kutoka Mizpa, waligeuka, wakarudi nyuma, wakamwendea Yohanani mwana wa Karea.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watu wote ambao Ishmaeli alikuwa amewachukua mateka huko Mizpa wakageuka na kumfuata Yohanani mwana wa Karea.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watu wote ambao Ishmaeli alikuwa amewachukua mateka huko Mispa wakageuka na kumfuata Yohanani mwana wa Karea.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi, watu wote, ambao Ishmaeli amewachukua mateka kutoka Mizpa, wakazunguka, wakarudi, wakamwendea Yohana, mwana wa Karea.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, watu hao wote ambao Ishmaeli alikuwa amewachukua mateka kutoka Mizpa, waligeuka, wakarudi nyuma, wakamwendea Yohanani mwana wa Karea.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, watu wote wa ukoo huu, Isimaeli aliowateka Misipa, wakageuka nyuma, wakarudi kwenda kwa Yohana, mwana wa Karea.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi, watu wote, ambao Ishmaeli amewachukua mateka kutoka Mizpa, wakazunguka, wakarudi, wakamwendea Yohana, mwana wa Karea.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, watu hao wote ambao Isimaeli alikuwa amewakamata mateka kutoka Misipa, waligeuka, wakarudi nyuma, wakamwendea Yohana mwana wa Karea.