Jeremiah 41:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini Ishmaeli mwana wa Nethania, pamoja na watu wanane waliponyoka kutoka kwa Yohanani, wakakimbilia kwa Waamoni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini Ishmaeli mwana wa Nethania pamoja na watu wake wanane wakamtoroka Yohanani na kukimbilia kwa Waamoni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini Ishmaeli, mwana wa Nethania, akaokoka pamoja na watu wanane, Yohana asimpate, akawaendea wana wa Amoni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini Ishmaeli mwana wa Nethania, pamoja na watu wanane waliponyoka kutoka kwa Yohanani, wakakimbilia kwa Waamoni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini Ishmaeli mwana wa Nethania pamoja na watu wake wanane wakamtoroka Yohanani na kukimbilia kwa Waamoni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini Ishmaeli mwana wa Nethania pamoja na watu wake wanane wakamtoroka Yohanani na kukimbilia kwa Waamoni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini Ishmaeli, mwana wa Nethania, akatoroka pamoja na watu wanane, Yohana asimpate, akawaendea wana wa Amoni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini Ishmaeli mwana wa Nethania, pamoja na watu wanane waliponyoka kutoka kwa Yohanani, wakakimbilia kwa Waamoni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Isimaeli, mwana wa Netania, akamkimbia Yohana pamoja na watu wanane, akaenda kwa wana wa Amoni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini Ishmaeli, mwana wa Nethania, akaokoka pamoja na watu wanane, Yohana asimpate, akawaendea wana wa Amoni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini Isimaeli mwana wa Netania, pamoja na watu wanane waliponyoka kutoka kwa Yohana, wakakimbilia kwa Waamoni.