Jeremiah 41:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, wakaenda zao, wakakaa huko Geruthi Kimahamu karibu na Bethlehemu, wakikusudia kuingia katika nchi ya Misri, kwa sababu
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha wakasafiri hadi Geruth-Kimhamu karibu na Bethlehemu wakiwa njiani kwenda Misri
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wakaenda zao, wakakaa katika Geruthi Kimhamu, ulio karibu na Bethlehemu, ili wapate kuingia Misri,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, wakaenda zao, wakakaa huko Geruthi Kimahamu karibu na Bethlehemu, wakikusudia kuingia katika nchi ya Misri, kwa sababu
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha wakaenda mbele na kutua Geruth Kimhamu karibu na Bethlehemu wakiwa njiani kwenda Misri
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha wakaenda mbele na kutua Geruth-Kimhamu karibu na Bethlehemu wakiwa njiani kwenda Misri
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wakaenda zao, wakakaa katika Geruthi Kimhamu, ulio karibu na Bethlehemu, ili wapate kuingia Misri,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, wakaenda zao, wakakaa huko Geruthi Kimahamu karibu na Bethlehemu, wakikusudia kuingia katika nchi ya Misri, kwa sababu
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakaondoka, wakakaa penye fikio la Kimuhamu lililoko kando ya Beti-Lehemu, wakataka kwenda Misri,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wakaenda zao, wakakaa katika Geruthi Kimhamu, ulio karibu na Bethlehemu, ili wapate kuingia Misri,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, wakajiendea, wakakaa huko Geruti–Kimuhamu karibu na Betelehemu. Wakikusudia kuingia katika inchi ya Misri, kwa sababu