Jeremiah 41:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ishmaeli aliwaua pia Wayahudi wote waliokuwa pamoja na Gedalia huko Mizpa na wanajeshi Wakaldayo waliokuwa mahali hapo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ishmaeli akawaua pia Wayahudi wote waliokuwa na Gedalia huko Mispa, pamoja na askari Wakaldayo waliokuwa huko.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena Ishmaeli akawaua Wayahudi wote waliokuwa pamoja naye, yaani, pamoja na Gedalia, huko Mizpa, na hao Wakaldayo walioonekana huko, yaani, watu wa vita.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ishmaeli aliwaua pia Wayahudi wote waliokuwa pamoja na Gedalia huko Mizpa na wanajeshi Wakaldayo waliokuwa mahali hapo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ishmaeli akawaua pia Wayahudi wote waliokuwa na Gedalia huko Mizpa, pamoja na askari wa Kikaldayo waliokuwa huko.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ishmaeli akawaua pia Wayahudi wote waliokuwa na Gedalia huko Mispa, pamoja na askari wa Kikaldayo waliokuwa huko.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena Ishmaeli akawaua Wayahudi wote waliokuwa pamoja naye, yaani, pamoja na Gedalia, huko Mizpa, na hao Wakaldayo walioonekana huko, yaani, watu wa vita.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ishmaeli aliwaua pia Wayahudi wote waliokuwa pamoja na Gedalia huko Mizpa na wanajeshi Wakaldayo waliokuwa mahali hapo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao Wayuda wote waliokuwa Misipa pamoja na Gedalia, nao Wakasidi waliopatikana kule, nao wapiga vita Isimaeli akawaua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena Ishmaeli akawaua Wayahudi wote waliokuwa pamoja naye, yaani, pamoja na Gedalia, huko Mizpa, na hao Wakaldayo walioonekana huko, yaani, watu wa vita.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Isimaeli aliwaua vilevile Wayuda wote waliokuwa pamoja na Gedalia huko Misipa na waaskari Wakaldea waliokuwa pahali pale.