Jeremiah 41:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ishmaeli mwana wa Nethania, alitoka nje ya mji kuwalaki watu hao huku analia. Alipokutana nao, akawaambia, “Karibuni nyumbani kwa Gedalia mwana wa Ahikamu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ishmaeli mwana wa Nethania akaondoka Mispa ili kwenda kuwalaki, huku akilia alipokuwa akienda. Alipokutana nao, akasema, “Karibuni kwa Gedalia mwana wa Ahikamu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Ishmaeli, mwana wa Nethania, akatoka Mizpa kwenda kuwalaki, akilia alipokuwa akiendelea; ikawa alipokutana nao akawaambia, Njoni kwa Gedalia, mwana wa Ahikamu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ishmaeli mwana wa Nethania, alitoka nje ya mji kuwalaki watu hao huku analia. Alipokutana nao, akawaambia, “Karibuni nyumbani kwa Gedalia mwana wa Ahikamu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ishmaeli mwana wa Nethania akaondoka Mizpa ili kwenda kuwalaki, huku akilia alipokuwa akienda. Alipokutana nao, akasema, “Karibuni kwa Gedalia mwana wa Ahikamu,”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ishmaeli mwana wa Nethania akaondoka Mispa ili kwenda kuwalaki, huku akilia alipokuwa akienda. Alipokutana nao, akasema, “Karibuni kwa Gedalia mwana wa Ahikamu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Ishmaeli, mwana wa Nethania, akatoka Mizpa kwenda kuwalaki, akilia alipokuwa akiendelea; ikawa alipokutana nao akawaambia, Njooni kwa Gedalia, mwana wa Ahikamu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ishmaeli mwana wa Nethania, alitoka nje ya mji kuwalaki watu hao huku analia. Alipokutana nao, akawaambia, “Karibuni nyumbani kwa Gedalia mwana wa Ahikamu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Isimaeli, mwana wa Netania akatoka Misipa, akawaendea, akienda akilia machozi; alipowafikia akawaambia: Njoni kwa Gedalia, mwana wa Ahikamu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Ishmaeli, mwana wa Nethania, akatoka Mizpa kwenda kuwalaki, akilia alipokuwa akiendelea; ikawa alipokutana nao akawaambia, Njoni kwa Gedalia, mwana wa Ahikamu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Isimaeli mwana wa Netania, alitoka inje ya muji kukutana na watu hao akiwa analia. Alipokutana nao, akawaambia: Karibu ndani ya nyumba kwa Gedalia mwana wa Ahikamu.