Jeremiah 42:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha makamanda wote wa majeshi, Yohanani mwana wa Karea, na Azaria mwana wa Heshaia pamoja na watu wote, wadogo kwa wakubwa,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo maafisa wote wa jeshi, pamoja na Yohanani mwana wa Karea, na Yezania mwana wa Hoshaya, na watu wote kuanzia aliye mdogo kabisa hadi aliye mkuu sana wakamjia
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo maakida wote wa majeshi, na Yohana, mwana wa Karea, na Yezania, mwana wa Hoshaya, na watu wote tangu wadogo hata wakubwa, wakakaribia,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha makamanda wote wa majeshi, Yohanani mwana wa Karea, na Azaria mwana wa Heshaia pamoja na watu wote, wadogo kwa wakubwa,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo maafisa wote wa jeshi, pamoja na Yohanani mwana wa Karea na Yezania mwana wa Hoshaya na watu wote kuanzia aliye mdogo kabisa hadi aliye mkuu sana wakamjia
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo maafisa wote wa jeshi, pamoja na Yohanani mwana wa Karea, na Yezania mwana wa Hoshaya, na watu wote kuanzia aliye mdogo kabisa hadi aliye mkuu sana wakamjia
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo makamanda, wote wa majeshi, na Yohana, mwana wa Karea, na Yezania, mwana wa Hoshaya, na watu wote tangu wadogo hata wakubwa, wakakaribia,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha makamanda wote wa majeshi, Yohanani mwana wa Karea, na Azaria mwana wa Heshaia pamoja na watu wote, wadogo kwa wakubwa,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakuu wote wa vikosi na Yohana, mwana wa Karea, na Yezania, mwana wa Hosaya, nao watu wote wa ukoo huu, wadogo kwa wakubwa, wakamjia
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo maakida wote wa majeshi, na Yohana, mwana wa Karea, na Yezania, mwana wa Hoshaya, na watu wote tangu wadogo hata wakubwa, wakakaribia,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha wakubwa wote wa waaskari, Yohanani mwana wa Karea, na Azaria mwana wa Hosaya pamoja na watu wote, wadogo kama vile wakubwa,