Jeremiah 42:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama mtabaki katika nchi hii, basi, nitawajenga, wala sitawabomoa; nitawaotesha wala sitawangoa; kwa maana nitabadili nia kwa sababu ya maafa niliyowatenda.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
‘Mkikaa katika nchi hii, nitawajenga wala sitawabomoa, nitawapanda wala sitawang’oa, kwani ninahuzunishwa na maafa niliyowapiga nayo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikiwa mtakaa bado katika nchi hii, ndipo nitawajenga, wala sitawabomoa, nami nitawapanda, wala sitawang'oa; kwa maana nayajutia mabaya niliyowatenda.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama mtabaki katika nchi hii, basi, nitawajenga, wala sitawabomoa; nitawaotesha wala sitawang'oa; kwa maana nitabadili nia kwa sababu ya maafa niliyowatenda.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
‘Kama mkikaa katika nchi hii, nitawajenga wala sitawabomoa, nitawapanda wala sitawang'oa, kwani ninahuzunishwa na maafa niliyowapiga nayo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
‘Kama mkikaa katika nchi hii, nitawajenga wala sitawabomoa, nitawapanda wala sitawang’oa, kwani ninahuzunishwa na maafa niliyowapiga nayo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikiwa mtabaki katika nchi hii, ndipo nitawajenga, wala sitawabomoa, nami nitawapanda, wala sitawang'oa; kwa maana nayajutia mabaya niliyowatenda.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama mtabaki katika nchi hii, basi, nitawajenga, wala sitawabomoa; nitawaotesha wala sitawangoa; kwa maana nitabadili nia kwa sababu ya maafa niliyowatenda.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
akasema: Mtakapokaa tu katika nchi hii, nitawajenga, nisiwabomoe tena, nitawapanda, nisiwang'oe tena, kwani nitageuza moyo, nisiyafanye yale mabaya, niliyowawazia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikiwa mtakaa bado katika nchi hii, ndipo nitawajenga, wala sitawabomoa, nami nitawapanda, wala sitawang’oa; kwa maana nayajutia mabaya niliyowatenda.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama ninyi mutabaki katika inchi hii, basi, nitawasimamisha, wala sitawaharibu; nitawaotesha wala sitawaongoa; kwa maana nitabadilisha nia kwa sababu ya hasara niliyowatendea.