Jeremiah 42:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Msimwogope mfalme wa Babuloni mnayemwogopa; naam, msimwogope hata kidogo. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema. Mimi niko pamoja nanyi kuwaokoeni na kuwasalimisha kutoka mikononi mwake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Msimwogope mfalme wa Babeli, ambaye sasa mnamwogopa. Msimwogope, asema Mwenyezi Mungu, kwa kuwa niko pamoja nanyi, nami nitawaokoa na kuwaponya kutoka mkononi mwake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Msimwogope mfalme wa Babeli, mnayemwogopa; msimwogope, asema Bwana; maana mimi ni pamoja nanyi, niwaokoe, na kuwaponya na mkono wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Msimwogope mfalme wa Babuloni mnayemwogopa; naam, msimwogope hata kidogo. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema. Mimi niko pamoja nanyi kuwaokoeni na kuwasalimisha kutoka mikononi mwake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Msimwogope mfalme wa Babeli, ambaye sasa mnamwogopa. Msimwogope, asema BWANA, kwa kuwa niko pamoja nanyi nami nitawaokoa na kuwaponya kutoka mikononi mwake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Msimwogope mfalme wa Babeli, ambaye sasa mnamwogopa. Msimwogope, asema bwana, kwa kuwa niko pamoja nanyi, nami nitawaokoa na kuwaponya kutoka mikononi mwake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Msimwogope mfalme wa Babeli, mnayemwogopa; msimwogope, asema BWANA; maana mimi ni pamoja nanyi, niwaokoe, na kuwaponya na mkono wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Msimwogope mfalme wa Babuloni mnayemwogopa; naam, msimwogope hata kidogo. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema. Mimi niko pamoja nanyi kuwaokoeni na kuwasalimisha kutoka mikononi mwake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Msimwogope mfalme wa Babeli, mnayemwogopa ninyi! Ndivyo, asemavyo Bwana: Msimwogope, kwani mimi niko pamoja nanyi, niwaokoe na kuwaponya mikononi mwake!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Msimwogope mfalme wa Babeli, mnayemwogopa; msimwogope, asema BWANA; maana mimi ni pamoja nanyi, niwaokoe, na kuwaponya na mkono wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musimwogope mufalme wa Babeli munayemwogopa; musimwogope hata kidogo. Mimi niko pamoja nanyi kwa kuwaokoa na kuwaponyesha kutoka katika mikono yake.