Jeremiah 42:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Lakini mkisema: ‘Hatutaki kubaki katika nchi hii,’ na hivyo mkaacha kutii sauti ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Lakini mkisema, ‘Hatutakaa katika nchi hii,’ hivyo mkaacha kumtii Mwenyezi Mungu, Mungu wenu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini mkisema, Hatutaki kukaa katika nchi hii; msiitii sauti ya Bwana, Mungu wenu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Lakini mkisema: ‘Hatutaki kubaki katika nchi hii,’ na hivyo mkaacha kutii sauti ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Hata hivyo, kama mkisema, ‘Hatutakaa katika nchi hii,’ hivyo mkaacha kumtii BWANA Mungu wenu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Hata hivyo, kama mkisema, ‘Hatutakaa katika nchi hii,’ hivyo mkaacha kumtii bwana Mwenyezi Mungu wenu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini mkisema, Hatutaki kukaa katika nchi hii; msiitii sauti ya BWANA, Mungu wenu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Lakini mkisema: ‘Hatutaki kubaki katika nchi hii,’ na hivyo mkaacha kutii sauti ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini ninyi mkisema: Hatutakaa katika nchi hii, msiisikie sauti ya Bwana Mungu wenu;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini mkisema, Hatutaki kukaa katika nchi hii; msiitii sauti ya BWANA, Mungu wenu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini mukisema: Hatutaki kubaki katika inchi hii, na hivyo mukiacha kutii sauti ya Yawe, Mungu wenu,