Jeremiah 42:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na kusema kwamba mtakwenda kukaa nchini Misri, ambako hamtaona vita wala kusikia sauti ya tarumbeta wala kukosa chakula,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na kama mkisema, ‘Hapana, tutaenda kuishi Misri, mahali ambapo hatutaona vita au kusikia sauti ya tarumbeta, au kuwa na njaa ya chakula,’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
mkisema, La! Lakini tutakwenda nchi ya Misri, ambayo hatutaona vita, wala kuisikia sauti ya tarumbeta, wala kuona njaa kwa kukosa chakula; nasi tutakaa huko;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na kusema kwamba mtakwenda kukaa nchini Misri, ambako hamtaona vita wala kusikia sauti ya tarumbeta wala kukosa chakula,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
nanyi kama mkisema, ‘Hapana, tutakwenda kuishi Misri, mahali ambapo hatutaona vita au kusikia sauti ya tarumbeta au kuwa na njaa ya chakula,’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
nanyi kama mkisema, ‘Hapana, tutakwenda kuishi Misri, mahali ambapo hatutaona vita au kusikia sauti ya tarumbeta au kuwa na njaa ya chakula,’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
mkisema, La! Lakini tutakwenda nchi ya Misri, ambayo hatutaona vita, wala kuisikia sauti ya tarumbeta, wala kuona njaa kwa kukosa chakula; nasi tutakaa huko;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na kusema kwamba mtakwenda kukaa nchini Misri, ambako hamtaona vita wala kusikia sauti ya tarumbeta wala kukosa chakula,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
mkisema: Hivi sivyo, sharti tuende Misri, maana hatutaona huko vita, wala sauti za mabaragumu hazitasikilika huko, wala hatutaona njaa kwa kukosa chakula, kwa hiyo tunataka kukaa huko;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
mkisema, La! Lakini tutakwenda nchi ya Misri, ambayo hatutaona vita, wala kuisikia sauti ya tarumbeta, wala kuona njaa kwa kukosa chakula; nasi tutakaa huko;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na kusema kwamba mutakwenda kukaa katika inchi ya Misri, ambako hamutaona vita wala kusikia sauti ya baragumu wala kukosa chakula,