Jeremiah 42:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
basi, sikilizeni asemavyo Mwenyezi-Mungu enyi mabaki ya Yuda. Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, asema hivi: Kama mmekusudia kuingia nchini Misri na kukaa huko,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
basi sikieni neno la Mwenyezi Mungu, enyi mabaki ya Yuda. Hili ndilo Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni, Mungu wa Israeli, asemalo: ‘Ikiwa mmekusudia kwenda Misri na kufanya makazi huko,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
basi, lisikieni neno la Bwana, enyi mabaki ya Yuda; Bwana wa majeshi, Mungu wa Israeli, asema hivi, Ikiwa mwakaza nyuso zenu kuingia Misri, na kwenda kukaa huko;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
basi, sikilizeni asemavyo Mwenyezi-Mungu enyi mabaki ya Yuda. Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, asema hivi: Kama mmekusudia kuingia nchini Misri na kukaa huko,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
basi sikieni neno la BWANA, enyi mabaki ya Yuda. Hili ndilo BWANA Mwenye Nguvu Zote, Mungu wa Israeli, asemalo: ‘Ikiwa mmekusudia kwenda Misri na kufanya makazi huko,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
basi sikieni neno la bwana, enyi mabaki ya Yuda. Hili ndilo bwana Mwenye Nguvu Zote, Mungu wa Israeli, asemalo: ‘Ikiwa mmekusudia kwenda Misri na kufanya makazi huko,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
basi, lisikieni neno la BWANA, enyi mabaki ya Yuda; BWANA wa majeshi, Mungu wa Israeli, asema hivi, Ikiwa mnakaza nyuso zenu kuingia Misri, na kwenda kukaa huko;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
basi, sikilizeni asemavyo Mwenyezi-Mungu enyi mabaki ya Yuda. Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, asema hivi: Kama mmekusudia kuingia nchini Misri na kukaa huko,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
basi, sasa lisikieni neno la Bwana, ninyi mlio masao ya Yuda: Hivi ndivyo, Bwana Mwenye vikosi, Mungu wa Isiraeli, anavyosema: Kama mnazielekeza nyuso zenu kwenda Misri, mkaja kukaa ugenini huko,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
basi, lisikieni neno la BWANA, enyi mabaki ya Yuda; BWANA wa majeshi, Mungu wa Israeli, asema hivi, Ikiwa mwakaza nyuso zenu kuingia Misri, na kwenda kukaa huko;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
basi, musikilize jinsi Yawe anavyosema enyi mabaki ya Yuda. Yawe, Mungu wa Israeli, anasema hivi: Kama mumekusudia kwenda katika inchi ya Misri na kukaa huko,