Jeremiah 42:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
basi, vita mnavyoviogopa vitawakumba hukohuko Misri, na njaa mnayoihofia itawaandama vikali hadi Misri, na mtafia hukohuko.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
basi ule upanga mnaouogopa utawapata huko, na njaa mnayoihofia itawafuata huko Misri, nanyi mtafia huko.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
basi, itakuwa, upanga mnaouogopa utawapata huko, katika nchi ya Misri, nayo njaa mnayoiogopa itawafuatia mbio huko Misri, nanyi mtakufa huko.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
basi, vita mnavyoviogopa vitawakumba hukohuko Misri, na njaa mnayoihofia itawaandama vikali hadi Misri, na mtafia hukohuko.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
basi ule upanga mnaouogopa utawapata huko na njaa mnayoihofia itawafuata huko Misri, nanyi mtafia huko.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
basi ule upanga mnaouogopa utawapata huko, na njaa mnayoihofia itawafuata huko Misri, nanyi mtafia huko.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
basi, itakuwa, upanga mnaouogopa utawapata huko, katika nchi ya Misri, nayo njaa mnayoiogopa itawafuatia mbio huko Misri, nanyi mtakufa huko.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
basi, vita mnavyoviogopa vitawakumba hukohuko Misri, na njaa mnayoihofia itawaandama vikali hadi Misri, na mtafia hukohuko.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ndipo, panga, ninyi mnazoziogopa, zitakapowafikia katika nchi ya Misri, nayo njaa inayowatisha itawafuata huko Misri na kugandamana nanyi, kwa hiyo ndiko, mtakakofia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
basi, itakuwa, upanga mnaouogopa utawapata huko, katika nchi ya Misri, nayo njaa mnayoiogopa itawafuatia mbio huko Misri, nanyi mtakufa huko.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
basi, vita munavyoviogopa vitawakuta kulekule Misri, na njaa munayoogopa itawaandama vikali mpaka Misri, na mutakufia kulekule.